Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Griezman: Nataka kushinda makombe mengi na Atletico

Griezman Antoine Antoine Griezmann

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Winga wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann amethibitisha kuwa haondoki Atlético licha ya kuhusishwa na Man United.

Akithibitisha Griezman anasema;

"Lazima nijishindie makombe mengi ili niwe gwiji katika klabu hii. Hiyo ndiyo dhamira yangu”.

"Kufikia 2024 ninataka kuleta furaha kwa mashabiki na jina la Atlético. Hii ni ndoto yangu”.

Chanzo: Mwanaspoti