Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Greenwood kupata mtoto na mpenzi aliempeleka Mahakamani

Mason Greenwood Na Harriert Robson Mason Greenwood na Harriert Robson

Mon, 27 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wapenzi wakigombana, tafuta shughuli ya kufanya na usiingilie! Mason Greenwood na Harriert Robson wanatarajia kupata mtoto karibuni.

Hii inakuja wiki chache baada ya kuondoshwa kwa mashtaka ya Greenwood dhidi ya mpenzi wake huyo wa zamani. Inatajwa pengine mimba hiyo inaweza kuwa ndiyo chanzo cha mashtaka kufutwa.

January 2022 Mason Greenwood alikamatwa na polisi wa Manchester kwa tuhuma za ubakaji na shambulio kufuatia mpenzi wake huyo, Harriert Robson kuanika mitandaoni picha na malalamiko kwamba nyota huyo wa United alimshushia vipigo na kumwingilia bila ridhaa.

Baada ya hapo, ilikuwa ni anguko la Greenwood kwani Klabu yake ya Manchester United ilitangaza kumsimamisha kwenye Kikosi, wadhamini wake wikiwemo NIKE walitangaza kusitisha udhamini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live