Sat, 29 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza.
Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubakaji ambayo yalifutwa Februari, lakini bado yupo nje ya uwanja baada ya klabu kudai inafanya tathmini ya ndani kuona kama kuna nafasi ya kumrejesha kuendelea kuitumikia timu.
Mkataba wa nyota huyo anayelipwa Pauni 70,000 kwa wiki ambaye pia amekuwa nje ya uwanja tangu Januari 2022 unatarajiwa kumalizika Mwaka 2025.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: