Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Greenwood aomba kesi yake na Jude Bellingham ifutwe

Jude X Mason Greenwood Greenwood aomba kesi yake na Jude Bellingham ifutwe

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mason Greenwood ameliomba shirikisho Real Federación Española de Fútbol (RFEF) kufuta uchunguzi unaoendelea dhidi ya Jude Bellingham juu ya kumuita (mbakaji),

Greenwood ametoa sababu kuu ya kumuombea msamaha Jude Bellingham ni kuwa tukio hilo lilitokea wote wakiwa wako na hisia za kiwango cha juu na Mchezo na ni kawaida

Kinachosubiriwa ni majibu yamsamaha huo kama RFEF watakubali au wataendelea na uchunguzi wao kuhusu tukio hilo ambalo ni kinyume na sheria za soka la Spain mchezaji kumwita jina lenye mlengo wa ubaguzi au unyayasaji wa kijinsia mchezaji mwenzake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live