Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Greenwood aaga rasmi Getafe

Greenwoodz Greenwood aaga rasmi Getafe

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mason Greenwood aliwaaga Getafe baada ya mechi yake ya mwisho dhidi ya Mallorca iliyoishia wao kupoteza 2-1 katika uwanja wa nyumbani.

Mason Greenwoon:

"Ninashukuru sana familia ya Getafe na mashabiki kwa msimu mzuri, asanteni kwa kunifanya nijisikie kuwa mmoja wenu."

"Nilifurahia kila sekunde, pamoja na wachezaji wenzangu na klabu, ilikuwa ni furaha kucheza na nyinyi, nawatakia kila la kheri."

Bado United mnamuitaji ama aondoke?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live