Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gomes wa Simba aibukia Yanga

Gomes Al Ain Didier Gomes Da Rosa

Tue, 20 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inadaiwa aliyekuwa Kocha wa Simba SC, Didier Gomes Da Rosa amekuwa miongoni mwa makocha waliyotuma CV kwenye Klabu ya Yanga akiomba kukabidhiwa mikoba ya Nabi.

Inadaiwa aliyekuwa Kocha wa Simba SC, Didier Gomes Da Rosa amekuwa miongoni mwa makocha waliyotuma CV kwenye Klabu ya Yanga akiomba kukabidhiwa mikoba ya Nabi. Gomes aliachana na Simba SC Oktoba 26, 2021 siku chache tu baada ya Mnyama kuondoshwa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kichapo cha magoli 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana Benjamin Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: