Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gomes mguu nje, mguu ndani Singida

Bruno Gomes Barosso Kiungo wa Singida FG, Bruno Gomes

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo raia wa Brazil anayekipiga ndani ya klabu ya Singida Fountain Gates, Bruno Gomes anaweza kuondoka ndani ya timu hiyo kwenye dirisha dogo hili la usajili,

Kiungo raia wa Brazil anayekipiga ndani ya klabu ya Singida Fountain Gates, Bruno Gomes anaweza kuondoka ndani ya timu hiyo kwenye dirisha dogo hili la usajili, Inaelezwa kuwa nyota huyo ana ofa mbili moja kutoka Tanzania nyingine iliyo bora zaidi ya kutoka nchini Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live