Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gomes aibukia Mauritania, sasa ni Kocha timu ya Taifa

FEbM22iXoAcSPgc Ddier Gomes Da Rosa atangazwa kuwa Kocha wa Timu ya Taifa Mauritania

Thu, 18 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Kocha wa Simba Didier Gomes Da Rosa, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Ya Mauritania.

Gomes ambaye aliachana na Simba Oktoba mwaka huu, amewahi kufundisha vilabu vya Al-Ismaili, Al-Marreikh ya Sudan, na Simba ya Tanzania.

Gomes anakwenda kuchukua nafasi ya Mfaransa mwenzake Corentin Da Silva Martins, ambaye alifungashiwa virago baada ya matokeo mabaya katika mechi za kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022.

Didier Gomez ataanza kibarua chake na Mauritania katika Mashindano yanayokuja ya Kombe la "Arab Cup" yatakayofanyika Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live