Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Golikipa wa Morocco kutua Saudi Arabia

Yassine Bono Bounou Morocco Celebrates 781105219 Scaled Yassine Bono

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal imefikia makubaliano na Sevilla juu ya kumsajili golikipa Yassine Bono kwa ada ya €19m pamoja na nyongeza ya €21m.

Muda huu yanafanyika makubaliano juu ya manufaa binafsi ya kipa huyo na Klabu.

Yassine Bono alifanya vyema katika michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar akiwa na Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live