Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Golikipa aliewahi kuokoa Penati ya Pele aibuka na mpira

Sebastiao Lourenco Golikipa wa zamani toka nchini Brazil, Sebastiao Lourenco

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa zamani toka nchini Brazil, Sebastiao Lourenco ambaye alidaka mkwaju wa Penati iliyopigwa na Pele mnamo Mei 12 mwaka 1971, ameutunza mpira huo hadi leo hii.

Huyu ndiye Golikipa pekee aliye hai katika wote waliowahi kuokoa mikwaju ya Penati za marehemu Pele ambaye amefariki dunia Juzi, Disemba 29.

"Nilikuwa na furaha ya ajabu, lakini nilikuwa na bahati kuokoa mkwaju wa penati uliopigwa na pele" anasema golikipa huyo

Wawili hao walianza kucheza pamoja katika umri wa miaka 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live