Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Golikipa Zimbabwe afariki Dunia

Geroge Chigova George Chigova

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa timu ya Taifa ya Zimbabwe na Klabu ya Super Sport United, George Chigova (32) amefariki dunia baada ya kuugua maradhi ya moyo kuanzia mwezi Julai alipopatwa mshtuko wa moyo na hakuwahi kupona mpaka mauti yanamfika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live