Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Golikipa Taifa Stars atua Ligi Daraja la tatu Sweden

Kwesi Kawawa Sweden Golikipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Kwesi Kawawa

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Kwesi Kawawa (22) amejiunga na klabu ya Syrianska FC inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu Nchini Sweden

Golikipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Kwesi Kawawa (22) amejiunga na klabu ya Syrianska FC inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu Nchini Sweden Kawawa amejiunga na klabu hiyo akitokea Karlslunds IF ambayo pia ni ya nchini Sweden.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live