Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Golikipa Barcelona kufanyiwa upasuaji

Marc Andre Ter Stegen Marc-André ter Stegen

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa ‘klabu’ ya Barcelona, Marc Andre Stegen anadaiwa kutoonekana kikosini kwa takribani miezi miwili, kwani anatarajia kufanyiwa upasuaji wa jeraha dogo la mgongo hivi karibuni.

Golikipa wa ‘klabu’ ya Barcelona, Marc Andre Stegen anadaiwa kutoonekana kikosini kwa takribani miezi miwili, kwani anatarajia kufanyiwa upasuaji wa jeraha dogo la mgongo hivi karibuni. Nafasi yake itachukuliwa na mlinda mlango Inak kwa kipindi chote ambacho Marc atakuwa nje ya kikosi na inadaiwa kuwa ‘klabu’ hiyo haina mpango wa kusajili goli kipa mwingine sababu wanaamini mlinda mlango aliyebakia atatosha kuisaidia ‘timu’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live