Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Goli la Samatta laivusha Paok Europa

Goli La Samatta Laivusha Paok Europa.jpeg Goli la Samatta laivusha Paok Europa

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa timu ya taifa Tanzania Mbwana Samatta ameifungia goli muhimu timu klabu yake ya Paok usiku wa kuamkia leo kwenye mashindano ya Euro Conference League akiingia sub dakika ya "64"

Baada ya kuingia ndani ya dakika tatu (Dakika ya 67) akaifungia goli la pili timu yake na kuwapa uhakika wa kusonga mbele.

FT : PAOK 2-2 Aberdeen

Paok bado wana mchezo kwenye kundi lao kama wakimaliza nafasi ya kwanza uhakika kwenda 8 bora, nafasi ya pili wataanzia 16 bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live