Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Goli la Aziz Ki lilikuwa halali - Rais wa CAF Motsepe - Video

Rais Wa Caf Na Aziz Goli la Aziz Ki lilikuwa halali - Rais wa CAF Motsepe

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekiri kuwa goli la Yanga lililokataliwa mwamuzi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns Afrika Kusini lilikuwa goli halali.

Rais Motsepe ameyasema hayo leo alipowasili visiwani Zanzibar katika fainali za African schools football na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa TFF Wallace Karia.

“Japo Rais wa CAF hatakiwi kutoa maoni yoyote kuhusu maamuzi ya mwamuzi lakini kwangu mimi nilivyorudia kuangalia lilikuwa ni goli halali” — amesema Motsepe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live