Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Girona kumrudisha Sadio Man Ligi ya Mabingwa?

Sadio Mane Timu Ufarasnsa Sadio Mane

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Girona baada ya kumaliza nafasi nne za juu Laliga na kupata uhakika wa kushiriki UEFA msimu ujao , wameanza kuboresha kikosi chao na usajili wa kwanza wamependekeza jina la nyota wa Senegal anayecheza Al Nassr ya Saudia ,Sadio Mane

Klabu ya Girona baada ya kumaliza nafasi nne za juu Laliga na kupata uhakika wa kushiriki UEFA msimu ujao , wameanza kuboresha kikosi chao na usajili wa kwanza wamependekeza jina la nyota wa Senegal anayecheza Al Nassr ya Saudia ,Sadio Mane Dau la uhamisho na mshahara vinaweza kuwa changamoto kwenye kukamilisha dili hili kwa sababu mchezaji huyo analipwa kiwango kikubwa cha pesa Saudia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live