Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ghana waanza AFCON kwa kipigo

SEI187221280(1) Ghana waanza AFCON kwa kipigo

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Ghana, The Black Stars imeanza vibaya michuano ya AFCON 2023 kufuatia kipigo cha 2-1 dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa kundi B.

Mpaka sasa msimamo wa Kundi B umesimama nama hii;

MSIMAMO KUNDI B

Cape Verde -3

Msumbiji -1

Misri -1

Ghana -0

Chanzo: www.tanzaniaweb.live