Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gerrard sio chaguo bora

Steven Gerrard Gfh Steven Gerrard

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Steven Gerrard yupo kwenye orodha ya makocha wanaofatiliwa na klabu ya Olympiakos ya Ugiriki ili kuwa kocha mkuu mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa muda mfupi (miezi sita).

Gerrard (42) amekuwa hana kazi tangu alipofutwa kazi na Aston Villa Oktoba 2022, ambayo aliingoza katika mechi 39, akishinda mechi 12, sare 8 na vipigo 19. Chini ya usimamizi wake yake klabu hiyo ilifunga magoli 45 na kuruhusu kufungwa magoli 53.

Lakini Sport-FM ya Ugiriki inasema kuwa Gerrard sio chaguo bora kwa klabu ya Olympiakos, badala yake, wafanye mpango wa kumnasa Gennaro Gattuso, kiungo wa zamani wa AC Milan.

Gattuso na Gerrard wana historia, Gerrard alishinda fainali ya Ligi ya Mabingwa 2005 na Gattuso akilipiza kisasi katika fainali mwaka 2007.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: