Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gerard Pique atangaza kutundika daruga

Gerard Pique Tr Gerard Pique

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Barcelona, Gerard Pique ametangaza kuwa atastaafu soka akiwa na umri wa miaka 35 huku mechi ya Jumamosi ya Barcelona dhidi ya Almeria ikiwa ndio ya mwisho kwake Camp Nou.

Pique ambaye amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi ya kucheza chini ya Xavi msimu huu leo Alhamisi ameamua kuwa sasa inatosha.

Beki huyo amejitengenezea heshima kubwa kama mmoja wa mabeki bora wa kizazi chake baada ya kurejea Barcelona kutoka Manchester United mnamo 2008.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live