Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

George Mpole atua kwa wababe wa Congo

Mpole George Stars George Mpole

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati mshambuliaji George Mpole akizua sintofahamu kufuatia kuvunjwa mkataba na klabu yake ya Geita Gold, Jana ametua nchini DR Congo kukamilisha dili lake na moja ya klabu kubwa ya huko.

Wakati mshambuliaji George Mpole akizua sintofahamu kufuatia kuvunjwa mkataba na klabu yake ya Geita Gold, Jana ametua nchini DR Congo kukamilisha dili lake na moja ya klabu kubwa ya huko. Taarifa za uhakika zinadai zaidi ya asilimia 80 ni kwamba Mpole ambaye alikuwa mfungaji bora msimu uliopita ametua Jijini Lubumbashi tayari kwa kujiunga na matajiri wa FC Lupopo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live