Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Geoff Lea: Tusitegemee kuiona Ihefu ikiisumbua Yanga (+Video)

Geoff Vs Yanga Ihefu Geoff Lea: Tusitegemee kuiona Ihefu ikiisumbua Yanga

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakijiandaa kuivaa Ihefu leo Machi 12 katika Uwanja wa Azam Complex Jiji Dar es Salaam.

Mchambuzi wa michezo kutoka kituo cha Efm Geoff Lea amesema watu wasitarajie kuiona Ihefu ikipata matokeo kama ilivyokuwa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ambapo Yanga walikubali kichapo cha mabao 2-1.

Akizungumza Geoff kupitia kipindi cha Sports Headquarters anasema;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea ???? (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: