Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Geof Leah: Yanga bingwa tena 2024/25

Yanga Yamshushia Nabi Mvua Ya Magoli 4 0.png Geof Leah: Yanga bingwa 2024/25

Wed, 31 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Geof Leah ambaye ni mchambuzi wa masuala ya soka kutoka kituo cha radio cha Crown Media amesema kuwa kwa msimu ujao, anaimpa nafasi kubwa Klabu ya Yanga kutwaa tena ubingwa wa Ligi kwa mara nyingine.

Geof Leah ambaye ni mchambuzi wa masuala ya soka kutoka kituo cha radio cha Crown Media amesema kuwa kwa msimu ujao, anaimpa nafasi kubwa Klabu ya Yanga kutwaa tena ubingwa wa Ligi kwa mara nyingine. "Mpinzani wa Yanga msimu huu 2024|25 ni Azam FC sio Simba. Kuhusu Ubingwa nampa Yanga 50%, Azam 30% na Simba 20%. Simba bado inajengwa hivyo hawawezi kubeba Ubingwa msimu huu," amesema Geof Leah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live