Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Geita nao wataka kuwachapa Yanga kama Ihefu

Geita Nao Wataka Kuwachapa Yanga Kama Ihefu Geita nao wataka kuwachapa Yanga kama Ihefu

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya jana Wananchi kuziacha alama tatu katika dimba la Highland Estates mbele ya Ihefu SC, Geita Gold wamewatumia ujumbe Yanga SC wakisema “tuwe wakweli tunazitaka hizi point 3.”

Jumamosi ya Oktoba 7, 2023, Yanga itakuwa ugenini katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza kuzisaka alama tatu za NBC Premier League.

Geita Gold itafanikiwa malengo yake? Mechi itapigwa saa 10:00 jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live