Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Geita Gold wakamilisha Dili la Mghana

Daniel Adrian Adjetey Daniel Adrian Adjetey

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Geita Gold FC, imekamilisha usajili wa mlinzi raia wa Ghana, Daniel Adrian Adjetey mwenye umri 23,

Daniel Adrian Adjetey alishawahi kucheza Naestved (Denmark) na Daugavpilis (Lativia) lakini pia alicheza kwenye timu ya vijana ya U-20 Palmeiras ya Brazil.

Daniel Adrian ataitumikia Geita Gold FC, kuanzia mzunguuko wa pili wa ligi baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Desemba 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live