Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Geita Gold waanza na Alama 3 Ligi Kuu

Geita GOLD VS Ihefu.jpeg Kikosi cha Geita Gold

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Geita Gold FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbogo Maji, Ihefu FC katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa katika dimba la Highland Estate.

Elias Maguri anakuwa mfungaji wa kwanza wa bao la Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24.

Wachimba dhahabu wamekwea kwenye usukani wa msimamo wa Ligi huku Mbogo Maji wakiteremka mkiani mwa msimamo huo baada ya mechi moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: