Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Geita Gold, Prisons hakuna mbabe Nyankumbu

IMG 9861.jpeg Geita Gold, Prisons hakuna mbabe Nyankumbu

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Geita Gold jana wamelazimishwa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania April 17 Uwanja wa sekondari ya wasichana ya Nyankumbu mjini Geita.

Kwa matokeo hayo, Geita Gold inafikisha pointi 23 katika mchezo wa 23 nafasi ya 13, wakati Tanzania Prisons imefikisha pointi 30 katika mchezo wa 23 nafasi ya sita.

Ikumbukwe timu mbili za mwisho zitashuka Daraja mwisho wa msimu na mbili zitamenyana zenyewe nyumbani na ugenini ili mshindi wa jumla asalie Ligi Kuu wakati timu itakayofungwa itakwenda kucheza na timu kutoka Championship kujaribu tena kubaki Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: