Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gavi azusha hofu Barcelona

Gavi Chelsea Kiungo wa Klabu ya Barcelona ,Gavi

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Klabu ya Barcelona ,Pablo Gavi amepata majeraha ya kifundo cha mguu (Enka) ambayo yatamfanya kukaa nje ya uwanja kwa mda wa miezi 6-8.

Kiungo wa Klabu ya Barcelona ,Pablo Gavi amepata majeraha ya kifundo cha mguu (Enka) ambayo yatamfanya kukaa nje ya uwanja kwa mda wa miezi 6-8. Jeraha hilo alilipata akiwa kwenye majukumu ya Kitaifa na timu yake ya Taifa ya Uhispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live