Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gavana atoroka mkutano kisa kumuona Ronaldo

Ronaldo Jr Gavana atoroka mkutano kisa kumuona Ronaldo

Sat, 9 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gavana wa Nagasaki, Kengo Oishi, alienda kutazama mechi ya AlNassr FC dhidi ya PSG badala ya kwenda kwenye mkutano wa magavana wa Nchini Japan. . Kulingana na MSN, gavana huyo alisema alihudhuria mechi hiyo kwa matumaini ya kumwambia Cristiano Ronaldo kuunga mkono na kukuza Nagasaki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live