Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gatusso kupiga pesa za Waarabu Saudi Arabia

Gattuso Saudi Gennaro Gattuso

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa AC Milan, Napoli Gennaro Ivan Gattuso wamekaribia kufikia makubaliano na Klabu ya Al-Taawoun ya Saudia.

Gattuso anatarajiwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu hiyo!

Gattuso anatarajiwa kulipwa zaidi ya €20M kwa msimu sawa na BILIONI 56,29 za kibongo!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live