Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gattuso kulamba dili Ufaransa

Gatusso Sacked Gennaro Gattuso

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Olympique Marseille inajiandaa kumteua kiungo wa zamani wa klabu ya AC Milan Gennaro Gattuso kuwa kocha wao mkuu mpya.

Klabu ya Olympique Marseille inajiandaa kumteua kiungo wa zamani wa klabu ya AC Milan Gennaro Gattuso kuwa kocha wao mkuu mpya. Tayari Gattuso amekubali kuwa kocha wa klabu hiyo, kama ilivyoripotiwa na Foot Mercato siku ya Jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live