Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gasperini akimnyamazisha Alonso - Picha

Gian Piero Gasperini Atalanta Bayer Leverkusen Xabi Alonso Shush Gasperini akimnyamazisha Alonso - Picha

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Atalanta ya Italia Gian Piero Gasperini (kushoto) akionesha ishara ya kumnyamazisha kocha wa Bayern Leverkusen ya Ujerumani, Xabi Alonso baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 katika fainali ya Europa League jana usiku.

Atalanta imekuwa mabingwa wa michuano hiyo kwa kuifunga Leverkusen ambayo msimu huu haikuwa imepoteza mechi yoyote ya mashindano.

Mabao ya mchezo huo yaliwekwa kimiani na mshambuliaji wake Ademola Lookman aliyefunga mabao yote matatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live