Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi na maswali ya utata Yanga "Mnataka pesa au mnataka Dua?"

Miguel Gamondi Happy Miguel Gamondi

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naona kwa mbali hivi watu kama wanataka kuongeza sauti hivi kuhusu jamaa lakini kama wanasikilizia hivi...!

Gamondi anauliza mnataka pesa (Matokeo) , au mnataka dua (Performance, sub na selection)? Kuna kipindi alikuwa anawapa vyote viwili tena kwa wingi lakini saivi mnapata kimoja kingine mnasamehe kwanza.

Au ndio apatikane wa kuleta vyote kama jamaa akiendelea hivi... Au zilikuwa jazba za mechi 3 tu zile?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: