Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi kuwasoma Belouzdad leo

Gamondi Coastal Gamondi kuwasoma Belouzdad leo

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa vyovyote vile, leo Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi atashika kalamu na karatasi kwa ajili ya kumsoma mpinzani wake kwenye mechi za Klabu Bingwa, CR Belouzdad.

Belouizdad leo atashuka dimbani katika mechi ya Ligi Kuu ya nchini Algeria kupambana na Paradou.

Yanga atavaana anatarajia kuvaana na Belouizdad 'away' Novemba 24, 2023 ikiwa ni mechi ya kwanza ya hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika.

Kwenye ligi yao, Belouizdad wapo nafasi ya 10 kwenye msimamo wakiwa na alama sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live