Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi hamuelewi Sure Boy - Oscar Oscar

Gamondi Sureboy Gamondi na Sure Boy

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Abubakary Salum anasajiliwa Yanga chini ya Kocha Nasredddine alikuwa miongoni mwa wachezaji wenye mchango mkubwa na hata asipokuwepo Khalid Aucho kulikuwa hakuna shida.

Ujio wa Kocha Miguel Gamondi umeonekana unaanza kumkataa kabisa Salum Abubakari Sure ama kwa jina lingine unaweza kumuita Babu Kaju maana amecheza mechi moja na Asas ya Djibout.

Kwa sasa kuna Jonas Mkude, Zawadi Mauya, Abubakar Salum 'Sure Boy' hawa miongoni mwa wachezaji wazawa ambao wanapaswa kupambana zaidi ili kuweza kupata nafasi ya kucheza.

Gamondi ameonyesha wazi wazi kwamba hamuelewi kiungo Bamia Babu Kaju Salum Abukakary Sure Boy licha ya kuwa kuna wakati alikuwa roho ya mashabiki wa Yanga kipindi cha Nasresddine Nabi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live