Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi awapa mbinu Singida FG waiue Future FC

Yangasc 36 Gamondi Gamondi awapa mbinu Singida FG waiue Future FC

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amemkabishi Diary Afisa Habari wa Singida Fountain Gate Hussein Massanza ambayo ina mifumo (mbinu za mchezo) mitatu ambayo itawasaidia Singida kuifunga Future FC kwenye mchezo wao wa Shirikisho Barani Afrika.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amemkabishi Diary Afisa Habari wa Singida Fountain Gate Hussein Massanza ambayo ina mifumo (mbinu za mchezo) mitatu ambayo itawasaidia Singida kuifunga Future FC kwenye mchezo wao wa Shirikisho Barani Afrika. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Septemba 12, 2023, Kamwe amesema kuwa wao kama Yanga wametoa hiyo kama sapoti kwa Singida ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha nchi inafanikiwa katika michezo yote ya kitaifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live