Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi atinga kwa Mkapa kuzisoma Simba, Al Ahly

Miguel Gamondi Kwa Mkapa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi akiingia kutazama mchezo wa Simba vs Ahly

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amefika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya kwanza African Football League ikiwakutanisha Simba na Al Ahly ya Misri.

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amefika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya kwanza African Football League ikiwakutanisha Simba na Al Ahly ya Misri. Yanga itakutana na Al Ahly katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika pia Simba itakutana katika mechi ya Ligi Kuu Novemba mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: