Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi athibitisha kuendelea kuinoa Yanga msimu ujao

Miguel Gamondi Semi Final Gamondi athibitisha kuendelea kuinoa Yanga msimu ujao

Sun, 9 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wake Eng. Hersi Said, ametangaza kuongeza mkataba na Kocha Angel Miguel Gamond baada ya kuipa klabu hiyo mafanikio katika msimu uliopita.

Klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wake Eng. Hersi Said, ametangaza kuongeza mkataba na Kocha Angel Miguel Gamond baada ya kuipa klabu hiyo mafanikio katika msimu uliopita. Gamondi ameiongoza Yanga kushinda ubingwa wa Ligi Kuu, ubingwa wa CRDB Bank Federation Cup lakini pia ameipeleka hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live