Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi apiga panga wanne Yanga

Gamondi Coastal Gamondi apiga panga wanne Yanga

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka ndani ya Klabu Yanga zinadai kuwa Kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi amependekeza wachezaji wafuatao wakimataifa wapigwe panga kwa sababu hawajaingia kwenye mfumo wake.

◉ Hafiz Konkoni

◉ Skudu Makudubela

◉ Jesus Moloko

◉ Gift Fred

Kupitia nafasi hizo nne zitakazoachwa wazi anataka usajili wa position hizi:

◉ Centre-forward

◉ Left winger

◉ Right Winger

◉ Cenre-midfielder

Wachezaji (3) wa kimataifa watasajiliwa katika dirisha dogo, mchezaji wa nne atasajiliwa dirisha kubwa. Inatajwa Moloko mwenye miezi (6) kwenye mkataba wake ataachwa dirislha kubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live