Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi aomba mechi ya kirafiki Yanga

Yanga Gamondi As Gamondi aomba mechi ya kirafiki Yanga

Thu, 12 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Miguel Gamondi amefunguka kuwa atatumia kipindi hiki cha mapumziko kuboresha kikosi chake na kuleta usawa.

“Ni muda wa mapumziko, baadhi ya wachezaji wetu wameenda kujiunga na timu zao za taifa. Tutaendelea na mazoezi na hawa waliopo na lengo ni kuboresha na kuweka usawa wa kikosi chetu,” alisema Gamondi aliyeifikisha Yanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya miaka 25.

“Katika mazoezi haya tunatarajia kucheza mechi za kirafiki kadhaa kabla ya kurejea kwenye mashindano.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: