Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi aomba mechi mbili kutest Mitambo

Gamondi Kambi Gamondi aomba mechi mbili kutest Mitambo

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga imerudi kambini Avic Town kujiandaa na mechi za Ngao ya Jamii, huku kocha mkuu wa timu, Miguel Gamondi akiomba mechi mbili za kutesti mitambo tena kabla ya kuvaana na Azam.

Kwa ajili ya kujiweka fiti kwa mechi hizo, Kocha Gamondi alikiri kwa sasa anahitaji mechi mbili za kukiweka vyema kikosi chake kwani mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs haujamtosha kimaandalizi.

“Nahitaji mechi mbili ili kuona ubora na mapunguifu kwa wachezaji wangu mechi moja haiwezi kunipa mwanga wa kuamini kuwa nina timu nziri na ya ushindani, mbele nina mechi ngumu ambayo itaamua njia yangu ya kuanza kupata mataji,” alisema Gamondi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: