Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi amejua kutuumbua

Gamondi Yanga Yake Miguel Angel Gamondi.

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miguel Angel Gamondi amejua kutuumbua ambao tuliamini mbinu zake za kushambulia muda wote zinawaponza yanga SC kwenye CAF Champions League.

gamondi hakubadilika hata siku moja, lakini aliongeza umakini na utulivu kwa wachezaji wake wakaendea kumpa kitu bora ndani ya pitch.

Gamondi ni Pep Guardiola wa Bongo, anajua na ndiye amekuwa Master Plan wa mipango yote ya Yanga kutoboa robo fainali. Kwa sababu ubora wake na kuamini katika mbinu zake kumeibeba Yanga.

CR Belouizdad amewahi kufungwa 4-1 na 5-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns lakini kafa 4-0 dhidi ya Yanga, aiseee hiki siyo kitu ya kuchukulia poa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: