Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi ambakisha Farid Yanga

Faridi Gamondi Farid Mussa.

Sun, 9 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kikao cha muda mrefu kati ya Rais wa Klabu Hiyo, Eng. Hersi Said, Mdhamini wa Klabu, Ghalib Said Mohammed (GSM), Meneja wa Farid, Oscar Oscar pamoja na mchezaji mwenyewe makubaliano yaliyofikiwa ni kuwa Farid Mussa atasalia Yanga SC misimu mingine miwili hadi (2026)

Baada ya kikao cha muda mrefu kati ya Rais wa Klabu Hiyo, Eng. Hersi Said, Mdhamini wa Klabu, Ghalib Said Mohammed (GSM), Meneja wa Farid, Oscar Oscar pamoja na mchezaji mwenyewe makubaliano yaliyofikiwa ni kuwa Farid Mussa atasalia Yanga SC misimu mingine miwili hadi (2026) Farid Mussa amesalia Jangwani kutokana na matwaka ya kocha, Miguel Gamondi ambaye aliueleza uongozi wa Yanga kuwa bado anahitaji huduma ya Farid katika misimu ujao wa 2024/25.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live