Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi alichowafanyia Coastal Union ni 'ukatiri'

Gamondi Coastal Kocha Gamondi.

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Yanga na Coastal Union ulikuwa na ubabe mwingi, achana na First Half (Dakika 45) za kwanza haikuwa mechi ni undava na utoto wa kupoteza muda pengine ni game plan its ok.

Kipindi cha pili ndio Mpira umechezwa kiasi, flow zilikuwa zinaonekana. Goli kafunga Mzize lakini Kwangu nina machache na muhimu katika game hii.

Ubongo wa Gamondi, katika hali ya kawaida aliona hakukuwa na battle la kupishana eneo la kiungo Kwasababu Coustal walikuwa kwao wanakaba na wakipata mpira hawajui waufanyie nini.

Nini Gamond alifanya?

Alimpunguza kiungo wake mmoja wa ukabaji, Mudathiri Yahya na kuingia Moloko kwani alitaka aufungue mchezo pembeni na kutumia mapana ya Uwanja, sub ikatiki Chumaa.

Touch na Movement za Max ni kama waligawana kipindi na Pacome, cha kwanza hakuwa sana mchezo Second Half ndio kaja kuuamua mchezo, anazunguka uwanja wote ni ngumu sana kukabiliana nae.

Lukac kikoti basi tu ni Mtanzania, Jamaa anajua sana Mpira, ana utulivu bahati Mbaya anacheza timu ya saizi lakini angekuwa timu kubwa huyu ni Almeider Maestroâš˝.

Kuna namna na matukio Mwandengwa alipepesa macho Mfano alitakiwa Aucho alitakiwa apewe kadi nyekundu.

Ajibu kile alichokifanya kwa Aucho kadi ya njano. Shekhe Walid Mzize akapeleka furaha Jangwani.

FT COUSTAL 0-1 YANGA Kafungwa dada na mdogo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: