Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi akabiliwa na Mtihani mzito Ligi ya Mabingwa Afrika

Gamondi Miguel Tizi Gamondi akabiliwa na Mtihani mzito Ligi ya Mabingwa Afrika

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kutoka suluhu ya 0-0 kati ya CR Belouizdad na Al Ahly sasa ni rasmi kuwa Yanga itakuwa na wakati mgumu wa kufuzu hatua ya robo fainali ukilinganisha na wapinzani waliobaki kwenye kundi lake.

Al Ahly ni kinara wa kundi hilo

Al Ahly - pts6

CR Belouizdad -pts 5

Yanga SC - pts5

Medeama SC -pts4

Yanga na CR Belouizdad zinalingana alama lakini utofauti wao ni magoli ya kufunga na kufungwa na kulingana na mechi zilizosalia Yanga ina wakati mgumu zaidi wa kufuzu hatua inayofuata.

Mchezo utakaoamua hatma ya Yanga ni ule dhidi ya CR Belouizdad utakaopigwa kwenye dimba la Mkapa, Jijini Dar Es Salaam, Gamond ana wakati mgumu sana hapa.

MECHI ZIJAZO

Medeama SC vs Al Ahly

Yanga SC vs CR Belouizdad

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: