Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi: Simba watarajie mchezo wa tofauti

Gamondi Kambini Yanga Gamondi: Simba watarajie mchezo wa tofauti

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Novemba 5 saa 11 jioni, Simba na Yanga zitakwaana kwa mara ya kwanza kwenye mechi ya Ligi msimu huu ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

Mpaka sasa wanalingana pointi kwenye msimamo huku zikitofautiana idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa, lakini makocha wa timu hizo, Miguel Gamondi na Roberto Oliveira ‘Robertihno’ wamechimba mkwara mzito kusisitiza ni mechi kubwa na ngumu lakini pointi tatu zipo.

Kocha wa Yanga, Gamondi ambaye ni Muargentina amesema wanakwenda kumalizia maandalizi yao ya mchezo mkubwa ambao uko mbele yao akijua wapin-zani wao walimpokonya taji la Ngao ya Jamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: