Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi: Simba waje kucheza mechi ili washinde sio kulipa kisasi

Miguel Gamondi Akubali.jpeg Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati joto la Dabi ya Kariakoo likizidi kupamba moto kuelekea mchezo huo utakaopigwa Kesho Aprili 20 Uwanja wa Mkapa.

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewatahadharisha wapinzani wao kuelekea mchezo huo mkubwa nchini.

Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Gamondi anasema;

“Wanapaswa kuja kucheza ili washinde mechi na sio kulipa kisasi, kama wanakuja kulipa kisasi litakuwa kosa kubwa sana, timu inapaswa kucheza ili ishinde pekee na sio kisasi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: