Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi: Simba tungewapiga nyingi

Gamondi X Simba Mpya Kocha Gamondi

Sun, 11 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa kwenye mchezo wao dhidi ya Simba SC kama isingekuwa Refa basi wangeshinda nyingi

"Tulifanya kile ambacho tunafanya mazoezini, hivi ndio namna tunafanya mazoezi yetu, nawapongeza Simba, nilisema wamebadilika lakini tuliendelea kuwa bora zaidi yao.

“Tungeweza kushinda kwa mabao mengi lakini kuna mambo yalitupunguzia ushindi wetu, nadhani kama waamuzi wangekuwa katika ubora wao mambo yangekuwa tofauti sasa tunaiangalia fainali ambayo nayo itakuwa ngumu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live