Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi: Siku ya furaha kwenye kazi yangu ya Ukocha

Gamondi Yanga Yake Gamondi: Siku ya furaha kwenye kazi yangu ya Ukocha

Sun, 5 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni siku ya furaha sana katika kazi yangu ya ukocha, tumepata ushindi dhidi ya tibu bora [Simba].

Wachezaji wangu wamecheza vizuri sana kwa bidii, kujituma na nidhamu, naamini mashabiki wetu wamefurahi.

Tulitangulia kufunga goli kipindi cha kwanza lakini tulishindwa kulilinda, wakati wa mapumziko niongea na wachezaji ni lazima tucheze vizuri kwa namna ambavyo tumepanga kucheza. Tutulie na mpira, tumiliki mpira na tucheze kwa style yetu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: