Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi: Ratiba inatubana sana

Gamondi Pacome Aziz Ms Gamondi

Sat, 4 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi amesema licha ya ratiba ngumu ya michezo ndani ya ligi kuu kwa kucheza kila baada ya siku 3 lakini dhamira yao ni kushinda kwenye kila michezo 6 iliyosalia ndani ya Ligi Kuu Tanzania 2023-24

Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi amesema licha ya ratiba ngumu ya michezo ndani ya ligi kuu kwa kucheza kila baada ya siku 3 lakini dhamira yao ni kushinda kwenye kila michezo 6 iliyosalia ndani ya Ligi Kuu Tanzania 2023-24 Gamondi amesema "tuna kalenda ngumu ya kila baada ya siku 3 na ndio maana kuna baadhi ya wachezaji nawapumzisha kwa ajili ya majeraha au kupata muda wa kupumzika lakini kuna mashabiki hawapendi au hawaelewi lakini wachezaji wanapaswa kuwa timamu kwa kila mchezo kwa asilimia 100."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live