Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi: Nimtoe Aziz KI, Pacome aingie nani?

Pacome Gamondi Maxi Gamondi: Nimtoe Aziz KI, Pacome aingie nani?

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha wa Yanga ametoa kauli ya kuwajibu wale wote wanaojaribu kumshauri kikosi cha kupanga kuelekea mchjezo huo.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Gamondi anasema;

"Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar, tunawajua vizuri Mtibwa Sugar, ila kwa nyie Mnaotaka nicheze na mawinga niambieni namtoa nani ili wao wacheze, nimtoe Aziz Ki? Nimtoe Pacome? Nimtoe Clement? Binafsi naamini tunacheza mpira mzuri tukiwa na Viungo kuliko Mawingaā€¯ - amesema

Yanga wataikaribisha Mtibwa Sugar Disemba 16 katika Uwanja wa Chamazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: